BREAKING NEWS

Comments

Saturday, November 11, 2017

PICHA: AJALI YA LORI NA NOAH YAUA WATU WATANO MKOANI KILIMANJARO

 Habari kutoka Wilayani Hai ,mkoani Kilimanjaro watu watano wamepoteza maisha na wengine wanne wakijeruhiwa baada ya lori kugongana uso kwa uso na Noah maeneo ya kikavu kwa Sadala.

Daktari wa zamu hospitali ya wilaya ya Hai,Agness Temba amesema amepokea miili ya watu wa tano.

Amesema miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Hai, na majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi.








Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 JAMII FOCUS. Designed by OddThemes