BREAKING NEWS

Comments

Wednesday, November 22, 2017

RAIS MTARAJIWA EMMERSON MNANGAGWA AWASILI ZIMBABWE



Emmerson Mnangagwa.
Rais mtarajiwa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa leo amerudi Zimbabwe akitokea nchini Afrika Kusini.Anatarajiwa kutoa hotuba yake katika makao makuu ya chama cha Zanu-PF mjini Harare. Kabla ya kuondoka Afrika Kusini alikutana na Jacob Zuma na kuogea pamoja.


Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 JAMII FOCUS. Designed by OddThemes