BREAKING NEWS

Comments

Thursday, November 9, 2017

WCB WASHITAKIWA NA MSONDO NGOMA KISA ZILIPENDWA


BAND YA MSONDO NGOMA YAITAKA WCB YA DIAMOND PLATNUMZ KUILIPA BAND HIYO MILIONI 300 NDANI YA SIKU SABA LA SIVYO WANAENDA MAHAKAMANI
.
KWASABABU KWENYE WIMBO WA #ZILIPENDWA WCB WALI COPY MELODY YA SAXAPHONE ILIYOWAHI KUPIGWA KWENYE MOJA KATI YA NYIMBO ZA MSONDO NGOMA

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 JAMII FOCUS. Designed by OddThemes