Dakika ya 5 mechi ya kirafiki kati ya Benin bado ni 0-0 Tanzania, huku Benin wakiwa wamesshapata kona 2, dakika ya 6 Benin 0-0 Tanzania, dakika ya 10 Benin 0-0 Tanzania.
Dakika ya 14 Benin 0-0 Tanzania, dakika ya 18 Beni 0-0 Tanzania, dakika ya 20 Benin 0-0 Tanzania, dakika ya 26 Benin 0-0 Tanzania, dakika ya 29 Benin wanapata penaliti.
Gooooo Benin wanapata goli la kwanza kwa njia ya penaliti goli kikifungwa na Sessegnon, dakika ya 35 Benin 1- Tanzania.
Dakiia ya 38 Tanzania wanapata kona ya pili, dakika ya 40 Benin 1-0 Tanzania dakika ya 43 Benin 1-0 Tanzania, dakika ya 45 Benin 1-0 Tanzania
Mechi ya kirafiki kati ya Benin na Tanzania ni mapumziko huku Benin wakiwa mbele kwa goli moja goli lililofungwa na Sessegnon dakika ya 35 kwa mkwaju wa penaliti
Kipindi cha pili kimeanza Benin 1-0 Tanzania, dakika ya 47 Benin 1-0 Tanzania.
Goooooo Elias Maguli anaipatia Tanzania goli la kusawazisha katika dakika ya 51, dakika ya 52 Benin 1-1 Tanzania, dakika ya 54 Benin 1-1 Tanzania.
Tanzania wanafanya mabadiliko anatoka Raphael Daud anaingia Mbaraka Yusuph, dakika ya 56 Benin 1-1 Tanzania, dakika ya 61 Benin 1-1 Tanzania.
Tanzania wanafanya mabadiliko mengine anatoka Shiza Kichuya anaingia Ibrahim Ajibu, dakika ya 68 Benin 1-1 Tanzania
Mabadiliko mengine anatoka Hamis Abdallah anaingia Jonas Mkude dakika ya 76 Benin 1-1 Tanzania.
Dakika ya 80 Benin 1-1 Tanzania, dakika ya 85 Benin 1-1 Tanzania, dakika ya 88 Benin 1-1 Tanzania, dakika ya 90 Benin 1-1 Tanzania.
Mabadiliko mengine anatoka Mudathir Yahya anaingia Nurdin Chona, faulu inapigwa na Ibrahim Ajibu, kona dakika za mwisho mwisho, dakika 4 za nyongeza Benin wanakosa goli la wazi, dakika ya 90+4 Benin 1-1 Tanzania.
Mechi ya kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Benin dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania umeisha kwa timu zote kufanikiwa kupata sare ya kufungana goli 1-1 na goli la Benin limefungwa na Sessegnon 35, huku la Tanzania likifungwa na Elias Maguli dakika ya 55.
Kikosi cha cha kwanza cha Benin kilichoanza dhidi ya Taifa Stars:
Farnolle, Kiki, Fassinou, Adenon, Hountondji, Verdon, Koikou, Dossou, Sessegnon, Djigla, Mounie
Kikosi cha kwanza cha Tanzania kilichoanza dhidi ya Benin:
Aishi Manula, Himid Mao, Gadiel Michael, Abdi Banda, Kelvin Yondani, Hamis Abdallah, Saimon Msuva, Mudathir Yahya, Elius Maguli, Raphael Daudi , Shiza Kichuya.
Kikosi cha Akiba:
Manyika JR, Maganga Boniphace, Ibrahim Ajibu, Nurdini Chona, Jonas Mkude, Mohamed Issa, Mbaraka Yussuph.
Nini maoni yako baada ya Tanzania kupata sare ya goli 1-1 na Benin, huku Tanzania wakiwa ugenini

Post a Comment