Mshambuliaji wa zamani ya Yanga, Saimon Msuva ambaye anaichezea Difaâ El Jadida ya Morocco, amesema hakuna linalowezekana kuhusu tetesi zilizopo za kujiunga na Malaga.
Moja ya timu ambazo kwa kipindi kirefu zimekuwa zikihusishwa na kumuwinda kwa ukaribu Msuva ni Malaga ya Ligi Kuu Hispania.
"Nilisema kuwa hapa nataka kutumia kama njia ya kwenda sehemu nyingine, safari hii nitalenga Ulaya, ni ndoto yangu kucheza Ulaya, sasa ukiniuliza ni Malaga au wapi nitapata shinda kujibu hilo swali kwa sababu hata hapo inawezekana.
Post a Comment